Tuesday, February 17, 2015

20 PICHAZ: Hakuna msanii Afrika Mashariki aliyesherehekea Valentine’s Day kwa kishindo kama hawa wawili




Ulisherehekea vipi Valentine’s Day? Well, Diamond Platnumz na msanii wa Kenya, Akothee waliisheherekea in a big way.

Diamond, Zari, Wasafi and beach life

Diamond Platnumz aliitumia siku hiyo muhimu kuwa karibu na mpenzi wake Zari The Bosslady kwa kumpeleka visiwani Zanzibar kwa mara ya kwanza.

Huko alijumuika na timu nzima ya Wasafi na kutumia kupunga upepo kwa kujivinjari kwenye beach za kuvutia za visiwani humo.

“Alisema hajawai fika Zanzibar, imebidi nimlete ili ajionee uzuri wa Tanzania yetu,” aliandika Diamond kwenye moja ya picha alizoweka kwenye Instagram. Hawakuacha pia kwenda kwenye soko maarufu la vyakula la Forodhani lililopo Ngome Kongwe.

Check picha zaidi hapo chini.











Akothee, family and limo life
Akothee akiwa nje ya Limo aliyokodi kwa shilingi milioni 3.6 kwa masaa matano


Muimbaji na mfanyabiashara wa Mombasa, Kenya, Esther Akoth aka Akothee aliamua kuweka mapenzi pembeni na kutumia a quality time na wanae wanne (wa kike wawili na wa kiume wawili) kwa kukodi Limousine kwa mastaa matano ambapo kila saa moja alilipa shilingi 40,000 za Kenya.

Hiyo ina maana kwa masaa matano alilipa shilingi milioni 3.6 za Tanzania.

“To all my ex y and z valentines thanks for the wonderful gifts you gave to me (babies )now am enjoying them even without you we roll this way off to Villa Rosa Kempinski Nairobi big up to all single mothers,” aliandika Akothee kwenye picha alizoweka Facebook.
Check picha hapo chini.












PICHAZ: Range Rover ya AY yamdatisha Daz Baba, asema AY ni mfano wa

0 comments:

Post a Comment